
Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m? - JamiiForums
Jun 27, 2012 · Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside
Jun 28, 2023 · Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
PostGE2025 - JamiiForums
Jul 31, 2016 · PostGE2025 Hivi kila baada mwezi mnapanga maandamano na kuwapa tarehe wakifikisha mwaka watawewuka mmoja wao ni raisi
Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa …
Aug 18, 2019 · Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana. Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama …
Walisema Mama hana deni, leo wameshindwa kunadi sera zao kuhusu …
Mar 19, 2020 · Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu? Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo …
Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili
Dec 11, 2024 · Podocarpus Macrophllus. Huo unaitwa Mkuyu wa mlima. Au Mjunja kwa baadhi ya sehemu. By the way unataka kutengeneza dawa ya Ukimwi nini? Mana mti wa pili huu unaulizia.
Itakuwa ndoto sana | JamiiForums
May 21, 2021 · Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila …
Mademu wa dar wanapenda kuwa spoilt sana | JamiiForums
Jun 19, 2023 · Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣 Anyway, Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya …
Nini Maana ya Vihela na Hela - JamiiForums
Oct 18, 2024 · Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya …
Jumamosi Yanga SC 2-1 atashinda | JamiiForums
May 2, 2020 · Wapenzi wa Yanga SC huzuni sasa basi, utabiri wangu nawapa nyinyi hapo jumamosi. Gemu itisha kwa mwenyeji kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.